Duration 57:6

Simuogopi Magufuli- Zito Kabwe Toronto

196 502 watched
0
964
Published 5 Feb 2020

Mwenyekiti na Muasisi wa chama cha ACT Wazalendo ndugu Zitto Kabwe katika Ziara ya chama chake kuifahamisha dunia kuhusu mazingira ya siasa nchini Tanzania. Amefanya mkutano na wakazi wa jijini Toronto Canada. Hii makala ni sehemu tu kwa muhtasari katika yaliyojiri kwenye mkutano wake huo, aloambatana na mueka azina na mchumi wa chama cha ACT Wazalendo Sheikh Nassor Mazrui.

Category

Show more

Comments - 689