Duration 5:26

USHUKURIWE MUNGU - Neema Gospel Choir (Official Audio) The Sound of Ahsante

21 530 watched
0
155
Published 30 Dec 2021

Tunapaswa kumshukuru MUNGU kwa kila ambacho kimetokea kwenye maisha yetu kwa makubwa na madogo,kwa furaha na huzuni, kwa magumu na mazuri. Maana shukurani imebeba ushindi wa mafanikio yetu. Zaburi 118:28

Category

Show more

Comments - 16