Duration 13:17

NAMNA YA KUONA VITU KATIKA ULIMWENGU WA ROHO

23 557 watched
0
282
Published 15 May 2019

Category

Show more

Comments - 46
  • @
    @festonkandonga855 years ago Nayapenda sana madini haya hakika yanatoa hatua moja kwenda nyingine. 4
  • @
    @estaraberd12452 years ago Ameen mtumishi wa mungu ubarikiwe sana.
  • @
    @nyotasandra11764 years ago Iyo kweli mtumishi wa mungu, muda mwengine hatuelewi maonosana.
  • @
    @Neemakilimba2 years ago Eee mungu nisaidie kumwezesha mtu wa ndani nope nguvu ya roho mtakatifu.
  • @
    @davidtry4ne3 years ago Asante sana mtumishi wa mungu. Nna swali kidogo na linanitayiza sana. Mtu anaweza kujazwa na roho mtakatifu bila kusema kwa ligha mpya!
  • @
    @salomejacob12422 years ago Wewe umenielewesha sana hawa feke ndo.
  • @
    @Word_DJ.3 years ago Kuna utofauti gani na kipaumbele kiasi gani kwa mungu kati ya anayeomba kwa lugha na anayeomba kwa lugha ya kawaida wote katika kumaanisha.
  • @
    @dawhiteschola88472 years ago Mchungaji umenena vyema ila na swali hapo kwenye unenaji wa lugha neno lina sema tutapewa lugha mpya je mbona lugha hi roboshalala bakurya imekuwa. Kama fashion lugha ni ilele watu wote wananena moja.
  • @
    @nyotasandra11764 years ago Tunapo ulizia, ata wa chungajichochote, ao wanakwambia eti si vya kwako.
  • @
    @mwl.deogratiaschristopher11265 years ago Good.
    sasa mbona somo hata halijaanza alafu ndio imeisha.
    1
  • @
    @lauraingosi14284 years ago Nimekubaliana na wewe kabisa kwenye ile sehemu ya kunena kwa roho ulipokua ukielezea kuhusu tukio la mwili kutetemeka, kuna kunena kwa lugha ya kiroho, lugha ya roho mtakatifu (lugha mpya) 2