Duration 51:56

Wafanyabiashara ya ngono wanavyopigwa na kuuawa Sierra Leone - Upekuzi wa BBC Afrika Eye

138 174 watched
0
758
Published 9 Feb 2021

Nchini Sierra Leone, wafanyabiashara ya ngono mara nyingi huonekana kama watu wasio na maadili wanaopaswa kutengwa na kuepukwa. BBC Africa Eye inachunguza madhila wanayopitia wafanyabiashara ya ngono nchini humo na kugundua kuwa wengi wananyanyaswa, kusafirishwa na hata kuuawa. Na kama Tyson Conteh anavyoripoti, maisha yao yamekuwa hatarini zaidi tangu kuibuka kwa janga la corona. #bbcafricaeye #wanawake #bbcswahili #sierraleone

Category

Show more

Comments - 341