Duration 3:27

Hati Chafu Zawaponza Wakurugenzi Hawa Mbele ya Rais MAGUFULI

2 719 watched
0
10
Published 27 Mar 2018

Rais Magufuli amemuagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo kuwasimamisha kazi Wakurugenzi wa Halmashauri 3 za Kigoma-Ujiji, Kigoma Vijijini na Pangani kutokana na halmashauri zao kupata hati chafu na ameahidi kuwa Serikali itafanyia kazi ripoti hizo na kuchukua hatua stahiki.

Category

Show more

Comments - 3