Duration 18:20

KILIMO CHA TIKITI MAJI TABORA (SIKU YA 30 BAADA YA KUPANDA)

52 676 watched
0
278
Published 23 Aug 2016

Mazao haya yana siku 30 toka nimepanda. Pata updates chache! mali ipo shambani.

Category

Show more

Comments - 66
  • @
    @TEACHER.CLEOPHAS3 years ago I really like watermelon farming and i' d like to start the process.
  • @
    @mohdhassan99437 years ago Asante sana baba hata mm nataka niingiye kwenye kilimo cha tikiti nitskutafuta ili nipate ushauri wakoo inshallah. 1
  • @
    @johnmakune74268 years ago It is hearts such as this that are willing to share knowledge for development that are truly remarkable and deserving of the highest applause and reward. God bless you guys for sharing all the information you have shared. 3
  • @
    @nafsajuma59197 years ago Hongera sana kaka selemani pia samahan umetumia kiasi gani kuandaa n. A. Kupanda hadi ziote.
  • @
    @emmanuelgabriel8488 years ago Hongera sana bro kwa udhubutu lakini vipi mafanikio yakuwekeza kweny kilimo. 1
  • @
    @MaishaBaluhya-nf5ok6 months ago Tafadhari naomba namba ya simu kwa msaada zaidi.
  • @
    @joshngojetv73644 years ago Habari.
    bwana sulemani naomba namba yako kunavitu nataka tuonge utusaidie kwenye project yangu.
    1
  • @
    @magaitumbo71114 years ago Safi nimeipenda hii. Ni mbegu gani unayolima ndugu.
  • @
    @ghanacabletv53168 years ago Assalaam ' alaykum ndg suleiman.
    umenisaidia sana ktk majaribio yangu ya kilimo cha tikiti. Mungu akulipe kila la kheri.
  • @
    @amonzachary27182 years ago Boss vp msimu mzuri wenye soko zuri kwa zao la tikiti ni upi yani nilime mwezi gan ilinivune msimu gan wenye bei nzuri sokoni wa zao la tikit.
  • @
    @scholasticamchokopa65155 months ago Ni mwez gani nzr wa kuandaa shamba la matikit? Yaan msimu mzr ambao unaweza kuuza bei nzr ukapata faida.
  • @
    @pulcheriamayombo52223 years ago Asante nimepanda matikiti ila nimekosea kipimo cha mche na mche.
  • @
    @rufanomushi11068 years ago Safi sana kaka tuendele kuelimishana wandugu uwo ndio uzalendo na hongera sana bro sule hongera sana kaka tuzidi kukaza. 1
  • @
    @joazmgute87467 years ago Safi bwana sureman me nmeshalipia shamba nasubir tuu maji yapungue ili nianze maandaliz swali hilo shamba ulilo kadiria milion 30 lina ukubwa gan lakin unaweza kunipa makadilio ya ghalama had kuvuna.
  • @
    @jameska12437 years ago Ndg suleiman lam sorry bila kujali ningeomb namb yako by james,
  • @
    @ayubumunapindamunapinda80163 years ago Gram 1 nyany imara f1 ya mbegu be i gan.
  • @
    @telesphorymwashem9484 years ago Kaka sulemani naomba namba yko tuwasiliane.
  • @
    @DIweni5 years ago Kwa mashina ambayo hayakuota yanaachwa au unarudia kupanda?
  • @
    @bestonmwasalemba69158 years ago Safi sana mkuu, napenda sana, tuko pamoja. 2
  • @
    @danfordjosephjosephdanford71156 years ago Vip bwana mkubwa toleo lingine tutalajie lini?
  • @
    @dyankson6 years ago Hongera! Safi sana kiongozi. Vijana tuzidi kuhamasishana kuwekeza kwenye kilimo. Kiongozi nimeanza na mladi wa shamba kilimo cha tikiti ili mwakani niwekeze . ...Expand
  • @
    @danfordjosephjosephdanford71156 years ago Bwana sulemani kwa hiyo ndiyo tumekoea hapa tu.
  • @
    @hassanyusuph32042 years ago Kwa makadilio ni bada ya mda gan unaweza kujua mda huu mmeasukari yake, ili kupunguza kiasi cha maji.
  • @
    @fahadfahmy7 years ago Matikiti tunayoyaona au majani tunayoyaona?
  • @
    @manasesimon765110 months ago Mkuu unatumia dawa gani kuthibiti dondoo.
  • @
    @emmanueleddiemwamakula33984 years ago Hivi hii programu iliishia wapi? Nimejaribu kufuatilia ila sijapata mrejesho.
  • @
    @silaspaulmakula43967 years ago Hongera kwa kazi nzuri, ila naitaji pia ushauri wako kwani na mimina kilimo hicho cha matikiti.
  • @
    @jacobshirima48604 years ago Bwana sulemani je naweza kupanda tikiti kwa mbolea ya kuku?
  • @
    @jumanzumbi12158 years ago Hi sullemani, kwa shimo unaweka mbegu ngapi na matikitiki yakianza kuzaa unabakisha mangapi kwa mche mmoja.
  • @
    @verohmchihiyo50297 years ago Hikaka, naomba contact zako kama hautojal. N kuhus kilimo cha matikiti.
  • @
    @adammakoye41986 years ago Naomba ujibu meseji nakutumia kwny namba yko hiyo ya voda.
  • @
    @audaxmuganda8 years ago Asanteni sana lakini pia ningependa kujua anamwagilia kila baada ya muda gani na vipi siwez kupata namba yke anisaidie baadh ya mambo maana na mimi ndo naelekea huko kwenye hcho kilimo.
  • @
    @allysalim19975 years ago Kaka naomba unitafute. Mimi ndio nataka nianze hicho kilimo. Sijui chochote
    allyshkapoor91@
  • @
    @rebecakwaleka80295 years ago Wa tabora tunakuonaje?
    na unalima tikiti pekee au unaweza shauri hata mazao mengine mfano nyanya, tango na mengine.
    1
  • @
    @elizabethturuya59585 years ago Msaada wakokunakipindi ambacho unatakiwa kupunguza maji i' ll tunda lijitengenezee sukari yake yenyewe. Je katika kipindi hicho hauweki maji kabisa na je kipindi hicho matikikiti yanakuwa na muda gani. Pia umeongelea swala la kupiga dawa. Je ni dawa zipi ulixokuwa unatumia. ...Expand 1
  • @
    @joazmgute87467 years ago 0762781194 kama hutajali unaweza ukanitafuta nipate namba yako.
  • @
    @emmanueleddiemwamakula33988 years ago Umekuwa kimya sana mtaalamu wetu, tunasubiri feedback ya kilimo cha matikikiti.
  • @
    @silaspaulmakula43967 years ago Nitakutafuta tuzungumze vizuri, silas teku hapa. 2