Duration 42:31

MWANZA KONGAMANO KUBWA LA UKOMBOZI WA ARDHI NA KUCHOVYA MIGUU KWENYE MAFUTA YA UPAKO [08.07.2021]

17 824 watched
0
148
Published 8 Jul 2021

#KAWE #mwakawaimani #ariseandshinetanzania

Category

Show more

Comments - 57
  • @
    @estermlonganile16043 years ago Huyo pia ni mtu wa mungu hongera sana mkuu wa koa wa mwanza. 2
  • @
    @judithkagoro53842 years ago Mambo sawa sawaaa ee bwana naomba ukomboe familia yangu nitokapo ktk mkutano huu kila mmoja apate kufunguliwa kiuchumi magonjwa ameen. In jesus name.
  • @
    @asteriamathias92932 years ago Nmejiungamanisha na ibada hii naamini nmefunguliwa na familia yangu, kiuchumi, ndoa kazi yangu kupandushwa cheo kazini, mzazi mwenzangu kuepushwa nguvu . ...Expand
  • @
    @christinakipacha8853 years ago Amina mkuu wa mkoa hakika wew pia ni mkuu unayemjua mungu.
  • @
    @veronicafrancis25452 years ago Najiungamisha na madhabahu hii. Eeh mungu baba nikomboe na familia yangu, tufungue ukoo wangu wote. Natoka kwa farau, umaskini, maradhi wotee naufuta na napokea baraka zotee, uchumi na uponyaje. ...Expand
  • @
    @mudyahmad58973 years ago Kwa jina naitwa emmanuel babelykwenye madhabahu hii ya usku hu naamin napokea upako kwa jina la yesu na kuikomboa familia zima kwa jina la yesu amen. 1
  • @
    @happinesstesha47453 years ago Napokea kwa jina la yesu muujiza wanguu wa gari.
  • @
    @mashamshamu93863 years ago Mungu naomba mfungue dada yngu miliamu. Kupitia madhahabu hii ya inuka uwangaze.
  • @
    @MwanahamisiHadithi-cx9bb10 months ago Mungu nataka ufungue ndoa yangu iwena hamani na upendo.
  • @
    @habibampinga82403 years ago Niko arushana madhabahu ya a raise and shine mwanza amen naamini mungu wa mwamposa atakutana na mm leo live yesu nimekuja nataka unisaidie amen.
  • @
    @lisamassala94123 years ago Mkuu wa mkoa wa mwanza yuko fire kiroho safi yan ana full maupako.
  • @
    @sophiakileo98963 years ago Naitw sophia na mimi napekea kufunguri kwa jina la yesu. 1
  • @
    @nancyjohn67233 years ago Naamin kupitia mtumishi wako mwamposa ntafungulia.
  • @
    @happinesstesha47453 years ago Najiunganisha kwenye madhabahu hii nahitaji gari mtumishi wa mungu kwako inawezekana napokea gari langu.
  • @
    @sarafinathomasi44103 years ago Najikonecti na ibada hii ya leo mungu nitendee fungua maisha yangu kwajina la yesu.
  • @
    @odethadismas14103 years ago Asante mkuu wa mkoa wa mwanza kwa kuongeza ulinzi kwa mtume, mungu akubariki.
  • @
    @vickiemanuel49243 years ago Naitwa vick naomba mungu anisaidie kunifungua ufahamu wangu na watoto wangu ninaamini mungu wa madhabahu ii nitafunguliwa.
  • @
    @MwanahamisiHadithi-cx9bb10 months ago He mwenyezimungu nibaliki nifunge ndoa na mume wangu.
  • @
    @marymwera23783 years ago Napokea mtume kwa jina la yesu kristo ameen. 1
  • @
    @vickiemanuel49243 years ago Napokea kupitia kipindi hiki kwa jina la yes. 1
  • @
    @eunicejeremiah37243 years ago Mchumba wangu atapokea pesa mda hu nyingi mtume akifka tuu madhabahuni napoles kibali. 1
  • @
    @sophiakileo98963 years ago Napokea uponyaji kulitoa mini mahaba linalonisumbua. 1
  • @
    @christinakipacha8853 years ago Napokea uponyaji wa tumbo langu kupitia kongamano ili napokea ujauzito kwa jina la yesu.
  • @
    @dorahhanga67813 years ago Najiungamanisha na madhabahu hii mungu nijalie.
  • @
    @familiabartolomebartolomeu84952 years ago Kwa jina naitwa familia bartolomeu jacob nhanhonho niko subinji ninapokea upako na uponhadi kwa jina la yesu kristo.
  • @
    @vickiemanuel49243 years ago Naomba nifunguliwe na watambue thamani yangu niheshimiwe. 1
  • @
    @lunangatamitunda97073 years ago Najiunga na mazababu ya inuka uangaze nina amini namimi tafunguliwa kwa imani.
  • @
    @gksd16023 years ago Mungu tuondolee pepo ma corona kwa jina la yesu. 1
  • @
    @asteriamathias92932 years ago Nmejiungamanisha na ibada hii naamini nmefunguliwa na familia yangu, kiuchumi, ndoa kazi yangu kupandushwa cheo kazini, mzazi mwenzangu kuepushwa nguvu . ...Expand
  • @
    @veronicafrancis25452 years ago Najiungamisha na madhabahu hii. Eeh mungu baba nikomboe na familia yangu, tufungue ukoo wangu wote. Natoka kwa farau, umaskini, maradhi wotee naufuta na napokea baraka zotee, uchumi na uponyaje. ...Expand