Duration 3:12

Mrembo atua kwa RC Makonda kisa katelekezwa

101 040 watched
0
261
Published 9 Apr 2018

Mwanamke mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la Walda, amejitokeza katika ofisi za mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, RC Makonda kueleza mbele ya wanasheria namna alivyotelekezwa na mume yake ambaye amedai ni mfanyabiashara.

Category

Show more

Comments - 290