Duration 9:41

HESHIMU HELA NDOGO IKUPE MKWANJA MKUBWA.

1 070 watched
0
11
Published 2 Mar 2020

Umepata mafunzo ya ujasiliamali, mafunzo yamekuingia, umepata mtaji, umeanzisha mradi, mradi umelipa na sasa unakipato jeh pesa yako unaifanyia nini.......? Wajuzi wa mamba wasemaaa...... "Kupata pesa si mwisho wa kazi''. ITUNZE PESA IKUTUNZE. KUELEKEA maadhimisho ya Wiki ya Mwanamke duniani Gsengo Tv inazungumza na Mkurugenzi wa Maznat Limited Inayo jishughuluisha na urembo kwa wanawake sanjari na utoaji elimu kwa wajasiliamali.

Category

Show more

Comments - 2