Duration 8:00

MOTO WA JWTZ KWA MAJAMBAZI PORINI KIGOMA WAKIJIWEKA FRESH NA MAZOEZI, RISASI ZAPIGWA JUU

1 502 258 watched
0
5.3 K
Published 6 May 2021

Hili ni zoezi la vizuizi barabarani  lilokua linafanywa na Jeshi la Wananchi JWTZ Mkoa wa Kigoma Kutafatuta wahalifu. Wanajeshi hawa walikua kwenye mazoezi ya kijeshi yaitwayo Excise masika katika Pori la makere Wilayani kasulu mkoani kigoma ambapo pia walitumia muda huo kutoa funzo kwa madereva kutopakia watu ambao wanawakuta porini na sio kwenye vituo Maalumu.

Category

Show more

Comments - 834