Duration 18:12

MAAJABU 7 YA PAPAI KATIKA TIBA

53 715 watched
0
347
Published 7 Dec 2019

Mpapai unaaajabu mengi katika tiba kwa kila kitu katika mmea wa mpapai ni dawa mfao: Majani, tunda, mbegu, utomvu a mizizi vyote hivyo katika mmeo huo ni dawaa,. Titizo ni elimu amna gani ya kuvitumia vitu hivyo. Katika video hii imeonesha machache katika mengi yanayoweza kutibiwa kwa kutumia mmea huu wa mpapai, na hapo tumeangalia vitu maradhi kama kutopata choo vizuri, matatizo ya figo a kibofu cha mkojo, gono, UTI sugu, tatizo la kukojoa kitadani, ngiri, chango na minyoo.

Category

Show more

Comments - 27
  • @
    @robertmsilanga72904 years ago Ahsante sana mwalimu kwa kutujuza na kutupa mwanga.
  • @
    @jailomhengilolo28985 years ago Barikiwa kwa somo hili nmejifunza ahsante.
  • @
    @dktfelixadrian54185 years ago Asante kwa kuelimisha jamii, ubarikiwe sana.
  • @
    @neemaneema47405 years ago Kaka asante sana mimi nimekuelewa sanaaa. 2
  • @
    @lahelmichaelgeorge53 years ago Axant kwauxhaur mzr py nawez kupt namb yak.
  • @
    @alhandroraj80095 years ago Jee kwa hernia ya tumbo tiba yake ni gani, tumbo imejaa maji na ningumuu. 2
  • @
    @manasebakunda24095 years ago Ahsante Sana kwa elimu hiyo uendelee kutuelimisha zaidi
  • @
    @habibaramadhani49025 years ago Shukrani kwa somo zuri, ni vyema watu watumie tunda hilo, yaonesha lina siri za ziada. Amina.