Duration 54:31

Mahubiri ya Masanja Mkandamizaji Sept 18 2016 Washington DC

1 062 415 watched
0
3.5 K
Published 21 Sep 2016

Mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji, ambaye pia ni Mchungaji Msaidizi katika kanisa la EAGT Mito ya Baraka jijini Dar Es Salaam, Septemba 18, 2016 alihudumu katika kanisa la The Way Of The Cross Gospel Ministries lililopo 405 Riggs Rd NE Washington, DC, 20011 Hii itakuwa ni mara ya pili kwa mtumishi huyo kuhubiri katika kanisa hilo. Mara ya kwanza ilikuwa ni Jumapili 07/07/2013 katika huduma yake ya kwanza kabisa nchini Marekani, .

Category

Show more

Comments - 391