Duration 11:7

UKILIJUA HILI BASI UTAACHA KULALAMIKA KWAMBA MAISHA MAGUMU

22 watched
0
2
Published 26 Mar 2021

Kila mtu katika hali aliyopo kuna watu wengine wako nyuma yake na wengine wako mbele yake kimafanikio ila utamkuta kila mtu analalamika kwamba Maisha magumu. Ila cha kutambua ni kwamba katika hali uliyopo wewe mwenyewe Unaweza ukawa sababu ya kusonga mbele au kurudi nyuma zaidi hivyo acha kulalamika fanya kitu. #elikam #succespath #psychologist

Category

Show more

Comments - 0