@khalifajames46453 years agoIvi wabongo wazanzibar mutaendelea kuwachukia adi lini au kuna bifu kubwa sana apa naomba pia nieleweshwe kosa la wazanzibar kwa watanzania bara ni nn adi wakawa wanachukiwa kiasi iki. 1
@
@mussamussa9523 years agoEh mzanzibari huyo kwanza someni historia zao ndipo muwape migongo jamani. Hao ni nomaa huaga wanavaa seruni kwa anayeijua hao.
@
@amanafi12883 years agoHizo jezii kweli zinamahusiana na wananchi.
@
@chiconinde81356 years agoHuyo bwege wa kwanza mwenye jezi ya arsenal siyo rizki huyo. Kulegea gani huko mtoto wa kiume. 1
@
@jaflaywamonie43145 years agoWakt huyo ni mzanzibar sasa mamb ya yey kugeuzwa ni sawa.
@
@sadikidelkashindi89873 years agoWapi ukaona timu ya taifa alafu unevaa jezi to a arsenal.
@
@salimalrumhy20204 years agoMuangalieni huyo kijana, mzenji abadan hageuziwi mgongo. 2
@
@erastobartalome27093 years agoHaya ndio mambo yenyew pale yanga wachezaji wa yanga wakaguliwe wote ya kabwili tayari.
@
@theofridmtulima36664 years agoSasa nyie yanga hizo rangi zinazo fanana na simba za nini.
Related videos for MATANI YA FAISAL CHUMBA CHA KUBADILI NGUO: