Duration 10:11

Mkate wa kusukuma AKA Chapati kiswahili

562 769 watched
0
3.7 K
Published 14 Apr 2016

Mahitaji: Unga wa ngano mweupe vikombe 4 Unga wa brown/ whole wheat 2 Chumvi kijiko kikubwa 1 Samli/mafuta ya kukandia imoto vjiko vikubwa 4-5 Maji vikombe 2 ( unawaza kupunguza au kuzidisha vijiko 2 vikubwa) Samli/mafuta nusu kikombe ya kusokota na kuchomea

Category

Show more

Comments - 568