Duration 4:47

Jinsi ya Kuitafuta au Kuirudisha Simu ulioipoteza

8 025 watched
0
68
Published 29 Apr 2017

Jinsi ya Kuitafuta/Kuirudisha Simu ulioipoteza AU iliopotea Kupitia video hii nimekusaidia au kukuelekeza jinsi gani unaweza ukaipata simu yako ulioipoteza Mda mchache uliopita Mbinu hii inakuwezesha Kui LOCK simu ulioipoteza ili Mafaili na Data zako zisitumike na mtu mwingine, Pia unaweza Kubonyeza sehemu ya RING na simu yako ikaita (Hii itakusaidia endapo imeibwa na mtu ulie karibu naye mfano Mgahawani, Nyumbani, Bwenini na hata katika Daladala). Pia unaweza Ukai TRACK Simu yako Ambapo mtandano wa Google utapa ramani halisi ikionesha Sehemu ambapo simu yako imeiangusha, Umeisahau au Alieiiba yupo nayo Hapo. Mbinu hii ya Ku TRACK ni nzuri sana lakini Chanagamoto yake ni kwamba simu ikizimwa tu Inakuwa ngumu kui track, Lakini ukiendelea ku TRACK mara kwa mara siku akiiwasha tu Google watakupa ramani halisi ya mahali simu ilipo. Kama Video hii imekuvutia au Kukupa Funzo kwa namna moja Au nyiingine Basi kumbuka ku Subscribe na Kushare Na wengine nao

Category

Show more

Comments - 13