Duration 34:40

NAMZIKA MWANANGU SEHEMU YA KWANZA FILAMU ZA KITANZANIA

541 052 watched
0
1.6 K
Published 11 Sep 2020

Filamu hii inazungumzia maisha ya msichana mmoja aliepewa ujauzito na mwanaume mmoja baadae mwanaume huyo aliukataa ujauzito wa msichana huyo msichana alijihudumia mwenyewe paka akajifungua katika mizunguko yake ya biashara akakutana na kijana mtanashati kijana akamueleza msichana Nia yake ya kushitaji mahusiano na msichana huyo msichana akakubari lakini ikabidi amwambie ukweli kua yeye ana mtoto mdogo kijana huyo mtanashati akaamua kumpima msichana huyo kwa kumpa mashariti mazito snaa jee nini hatma ya maisha ya binti huyo

Category

Show more

Comments - 342