Duration 3:8

Serikali ya Kenya yalaumiwa kwa kushindwa kuwatetea raia wake wanaofanya kazi Mashariki ya Kati

133 064 watched
0
331
Published 22 Oct 2014

Serikali ya Kenya imelaumiwa pakubwa kwa kushindwa kuwatetea raia wake wanaofanya kazi za ujakazi Mashariki ya Kati. Siku chache baada ya Wizara ya Leba kupiga marufuku mawakala wote wanaowapa Wakenya ajira Ughaibuni, Wakenya ambao sasa wanahudumu hasa nchini Saudi Arabia wameendelea kupitia mahangaiko bila kuona mkono wa ubalozi wa Kenya. Saida Swaleh Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya

Category

Show more

Comments - 141