Duration 2:6

Rais Samia akimkabidhi Mzee Mwinyi zawadi yake ya gari, Mercedes Benz mpya

12 947 watched
0
156
Published 9 May 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi gari jipya Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi pamoja na Mkewe Mama Sitti Mwinyi mara baada ya kuzindua Kitabu chake cha Historia ya Maisha yake ili liweze kumsaidia katika shughuli mbalimbali za usafiri

Category

Show more

Comments - 144