Duration 3:4

Ukur Yatani awasilisha bajeti yake ya kwanza kama waziri wa fedha

1 163 watched
0
6
Published 11 Jun 2020

Bajeti ya kwanza ya waziri wa fedha ukur yattani imezingatia zaidi jinsi uchumi utakavyoimarishwa baada ya tandavu la corona kupita. Kama anavyoarifu mashirima kapombe, waziri yattani alionekana mwingi wa furaha alipoelekea bungeni kusoma bajeti ambayo ilinuia kuwapa matumaini wakenya wakati huu mgumu.

Category

Show more

Comments - 0