Duration 13:28

KIBWANA SHOMARI ATAMBA KUMPIGIA SIMU FEITOTO/JOB ATHIBITISHA UWEPO WA MAYELE/MSUVA NDANI.

6 312 watched
0
119
Published 22 Jun 2023

Leo tarehe 22/06/2023 imetolewa tarehe rasmi ya Mchezo wa Wape Tabasamu 2023 ambao utapigwa Mkoani Morogoro ukikutanisha Timu Kibwana Dhidi ya Timu Dickson Job kwenye Uwanja wa Jamhuri. Dhumuni kubwa la Mchezo huo ni Uzazi Salama kwa Kizazi Bora. Kocha wa Timu Kibwana ni George Ambangile huko Kocha wa Timu Job akiwa ni Ally Kamwe

Category

Show more

Comments - 9