@khamisshaaban45994 years agoAllah akuongoze ucjeukarudi tena kwenye giza la dhulma amin. 1
@
@abbasmohamed50664 years agoMashaallah! Wallahuislam ndg allah akuongoze katika dini ya haki inshaallah! 7
@
@salumkassim79494 years agoKaribu sana ktk uislam ndugu yangu mungu akufanyie wepec. 2
@
@fetychina32734 years agoMungu azidi kukutia imani nakuongoze kwenye kutenda mema na kujaalie mafanikio kwa kila kitu unacho. 23
@
@bitumujuma53834 years agoMashaallah tabarakaallah brother krb katika dini ya haki. 2
@
@salummakame50864 years agoAllah akupe moyo wa subra na uvumilivu na uzidi kuijenga iman ya kiislamu amin. 17
@
@twahasaidi38194 years agoMashaallah allah huzindua amtakaye karibu ujali chochote.
@
@simulizizetu25894 years agoItakapokuja nusra ya mwenyezimungu na ushindi, na ukawaona watu wanaingia katika dini ya m/mungu makundi kwa makundi, zitakase sifa za mola wako mlezi na . ...Expand13
@
@fatmahamisi73694 years agoMaa shaa allah akuongoze ktk subra na uvumilivu ktk hiki kipindi cha watu wanaokusema vibaya uzidishe imani zaidi mwamini allah atakuonvoza utashinda yote. ...Expand1
@
@mwahijaismaily5384 years agoMashallah karibu kwenye dini ya kiislam. 22
@
@aishajimmy44854 years agoMashaallah dini ya haki ni islamic hongera saan kaka. 1
@
@ezekielimtunguja36464 years agoIla lusekelo, mungu aliemtoa kristo mwanae kwa ajili ya wanadamu anakuona, wewe kama balozi wakupongeza uasi dhidi ya neno la mungu maana hakuna dhambi kubwa kama kumkataa kristo asiwe bwana wako, heri ungekaa kimya kuliko kushiriki kumkana yesu hadharani. ...Expand7
@
@hamzampojora92844 years agoMaasha ashah mungu kwa kukuonyesha njia ya pepon. 1
@
@mrcembo74734 years agoAmani kwako brother tuko pamoja sana allah akupe taufiki kwakuweza kuitambua khaki. 1
@
@hajitunguuni12984 years agoMaashaallah uislamu si jina wala si kanzu nzuri siku hizi, uislamu ni kufuata yote aliyoamrisha na kuacha yote aliyokataza allah (sw) na muhamma(s. A. W) wake pia kuamini kuwa kuna pepo na moto baada ya malipo akhera.
@
@hashtagdarling47384 years agoMasha allah, mungu amuongoze ndugietu kwa kujiunga katika dini ya kiislam na aampe imani zaidi.
@
@firdausgreen13914 years agoMaa shaa allah. Ila usijaribu kuritadi maana itakugharimu maisha ya dunia mpaka kesho na adhabu ya allah ni kali. 1
@
@marhaban20124 years agoWelcome brother may allah guide alla of us! 12
@
@ahmedbng73604 years agomashaallah akuongoza ktk njia iliyonyooka inshaaallah 1
@
@shaban66444 years agoMaash allah, allah akbar. Now he is like new born. Karbu katka uislam kaka. 44
@
@tuwajafar56874 years agoUislam mzuri bwana. Unaraha sana. Hongera bernham.
@
@mwazanmwazan7664 years agoMashallah mungu akupe afya njema uwe mungono wa ibada moja apoo. 1
@
@saidasaid14764 years agoMwenyezi mungu akuzidishie inshallah kalibu sana katika imani.
@
@chibudyside56174 years agoMungu akufanyie wepesi katika safari yko. 1
@
@rayarawdha37534 years agoAlhamdullillah allah akuongoze kwenye dini ya haki. 2
@
@omarkomwa57184 years agoKaribu ndugiangu kwenye dini ya haki na mungu akuongoze kwanjia ilio nyooka amin.
@
@sulaymanmohd15634 years agoAllah akbar. Karib kaka na allah akujaalie imaan thaabit. 1
@
@arafataman88914 years agoMashaallah karibu katika dini ya haki mbele ya allah. 1
@
@samuraimuslim11774 years agoMasha allah asalamu aleykum from tajikistan iran afghanistan.
@
@dullatembo83024 years agoAllah akubarik karbu kwenye dini ya hakki.
@
@rahmssalum31634 years agoMashallah allah akuongoze njia ya haki inshaallah.
@
@saidiuchebe52034 years agoAmepiga atua nyengine ktk maisha yake ila shida inakuwaga kwenye uvumilivu coz yatakuja mengi ktk siku za usoni kwaiyo akiweza vumilia ndo salama yake, allah supreme. 1
@
@twahasaidi38194 years agoFrom kenya nairobi kijana allah anasema na mwenye akili atafuwata bc uwasomee aya zetu wasije wakasema ni similizi za watu wa kale wape ushahidi waelewe mm ni mzaliwa wa chemba dodoma hususa ndugu yangu ben por.
@
@pinkygrey34594 years agoMungu ni yuleyule na imani ya mtu ndio itampeleka peponi.
@
@sarahabdulatif73914 years agoMungu wenu alismpa utume muhamad kamtuwa kwawatu mazezeta kwaiyo ukijiona bado unaganda marehemu mudi wew ni zezeta.
@
@thomasvenance51864 years agoHizo project wanazianda ukute nyimbo anaianda. 1
@
@luqmanmohamedy38604 years agoIwapo ndoa bado ipo ndoa hio hukubalika kuendelea nayo according to uislamu.
@
@esterkimath12144 years agoImani yako ndio itakayo kuponya na kubadili dini sio suruhisho.
@
@hamadinyawe18164 years agoSababu hakuna mahali kwa bible jina ukiristo.
@
@peacemakune9114 years agoUlikua ndo namba 1 kwangu bongo kwa wasanii wa kiume, now siupendi tena.
@
@samakisamaki32264 years agoAnatafuta sababu ya kuitema ndoa yake. Subirini mtashuhudia.
@
@mrsnam68974 years agoNilikua namuona mbali sana ben pol kiimani, alifanania kua muslim muda mrefu sana. 2
@
@isaachayes97834 years agoDuh! Kaona huko ndo njia sahihi haina tabu twamtakia kila la kheri na imani yake mpya,
@
@aishawakat21434 years agoKaribu katka din ya kiislam, ukumbukendoa yako na hurusiwi kushiriki naye tendo hadi na yy abadili dini.
@
@emmadora78484 years agoShida ni moja tu mnahamia kwenye Dini Fulani sio kwamba mmeipenda au mmeielewa ila huwa kuna vitu mnavifuata kama sio wanawake basi hii ni hatari 1
@
@yussufabdul-rahman56014 years agoNyie ata akili hamna, ameamua ivo kwakua ameshajua nn haki nn batili. 3
@
@rahjah58824 years agoJina si tatizo kabisa anaweza kuendelea kutumia majima yake;
@
@alriyamy6134 years agoDini cio, jina lolote halina ttzo ktk uislam muhim uchaji wko(the way of conducting yr ibaadat) 3
@
@ellbenzema53584 years agoJina la kisanii hawez kubadili kwakua ben ipo kwa bernard na benham na paul ni lababa ake kwaiyo hapo hakuna utata.
@
@teddygabriel56624 years agoKila kukicha nafuu ya jana huko ni kukosa msimamo. 3
@
@johnmatiko25964 years agoJesus christ is coming soon mwenye kujitakasa azidi kujitakasa na mwenye kujichafua na azidi kujichafua huko nje wapo mbwa, na waabudu masanamu. 8
@
@fuadabdalla70974 years agoGombana nini mbona hauko positive wewe je kama na mke pia ame slimu wajuaje.
@
@godsonndamgoba19344 years agoAcheni wizi, c mmeandika sababu mbonauchwala.
@
@saimonsanga45104 years agoBernadmembe, benpaul awa wakina beenwana nyota ya kuhama xanaa. 3
@
@yussufabdul-rahman56014 years agoNyie wasafi mikafiri tu eti utarajie aimbe doh, mntka apotoke km boss wenu mie namuombea dua acjingize tena ktk mzki mna mzki ni sauti ya shetani ktk uwislamu tunafahmu ivo.
@
@eddonyihande63654 years agoNazani ni kiki tu hiyo, new hit coming soon.
@
@abdunewton63764 years agoKalib baba sisi 2natok ww unaingia akik kilam2 ana chaguo lake. 3
@
@nicoemmanuel91164 years agoMwachen atest mitambo na huko yakimshinda atarudi aliko toka tuu. 6
@
@darposttv26473 years agoHuo ni mwanzo wa kupangawa wewe ni sawa na chuchu tu.
@
@gordiansoko91134 years agoUsajili tata kama wa " bernard morrison" 3
@
@eliofootz65194 years agoKama mtu aliweza kupakwa mafuta akiwa uchi kwanini asiweze kubadili dini yake? 4
@
@martinfrancis98084 years agoKashafail. Mapenzi yanamchanganya anaacha kufanya kazi. Kapata demu mwenye hela anapenda kulelewa hakuna cha zaidi. 8
@
@mikarospius80844 years agoKama umebadrisha dini kwa sababu ya mwanamke umepotea sana. 1
@
@emmanuelyraphaely33434 years agoIyo kiki soon anaachia nyimbo yan wasanii wabongo kwa kiki mpo vzr sana. 2
@
@charleskaozya99244 years agoMungu wetu ni mmoja tu ila jamaa aache kupendaa vitongaa stress zitamuuaa.
@
@dominicanton20644 years agoMwana ume unakuaje dhaifu ivo unabadili din kisa mwana mke du nn huna? Haya kesho mme achana una badili tena yan ingekua kwa mapenz yako asawa dem eti tuu ana pesa broo apo hauja fikil aisee. 1
@
@josephvenus32594 years agoHatuta shangaa sana ila ajue jesus christ is a king! 5
@
@kareemalamoody63454 years agoWasafi ni fake kuamini wachawi ni washirikina.
@
@ezekielimtunguja36464 years agoBen ni kondoo aliepotea, na kaamua kutokomea zaidi ili asipatikane kabisa! Mungu wa mbinguni akusaidie ben uione njia ya wokovu wa roho yako na sio dini.
@
@sarahabdulatif73914 years agoMimi huwa nacheka sana mtu. Akibadili dinmana siajabu hata najini nao kila siku wanasilimu nakuwa waisilamu jini asilimu namwanadamu umakili zako nawe unakuwa sawa najini unasilimu halafu waisilamu wote nindugu kwahiyo unakuwa nindugu pamoja namajini njooni kwa yesu ndio mana waisilamu akila hawana baada kuja kwa yesu alie hai wakaokolewa wanamfuata muhamad alie kufa yaan akili za nasar ukimuona mtu anasilimu nijini naukimuona mtu nimuisilamu nijini mana ndio dini yao ndio mana ukisoma kuruani mungu alimpa utume muhamad kamtuma kwawasiojuwa kusoma nakuandika lakini tunashangaa watu wanashahada za vyuo lakin mtume wao nimuhamad sababu shetani amewateka fikra zao. ...Expand
@
@ernestmbwana62824 years agoIf he looks for arab girl trust me hataoa muarabu they are racist kichizi.
@
@bulugubujashi63784 years agoKwa mgogo kubadili dini nikawaida sana.
@
@rubensamson86814 years agoKila mtu na maamuzi yake japo kwa wasanii huwa miyeyusho sana hawachelewagi kurudi waliko toka. 2
@
@edmackmbilinyi86514 years agoYan ben pol kutoka ukristo kumuamin jesus kama yesu kristo na kuimba nyimbo nzur kama ebenezer lkn bado huamni. 3
@
@maalickbintarish66584 years agoNa huwo mzuzu umeendana na dini ulioifuata. 1
@
@michaelisrael41144 years agoTamaa yake ya kutaka kuoa mke zaidi ya mmoja.
@
@guccijackson30554 years agoAta bernard morrison ali isaliti yanga awa akina bernard wana pepo la usaliti.
@
@juliusakida62724 years agoKubadili dini sio shida, shida amebadili kwa kufuata dini ya kweli kwa jinsi anavyo amini kiimani au kama amebadili kwa kiki au mwanamke hakuna dini hapo, 2
@
@victoramani49134 years agoAaa watu w majina ya benard c o w kuamn jma anazngua tu mse.
@
@djmatia23134 years agoKumamae zenu. Kichwa hakiendan na habar. Msenge ww c ungentafuta kwanza. Matako we bando umeninunulia ww matako.
@
@rehemaabinelynyagawa28784 years agoKila mmoja ataubeba mzigo wake mwenyewe sioni cha ajabu hapo kubalisha dini siyo tiketi ya kukufikisha mbinguni.
@
@furahajonas74254 years agoHakuna anaejuwa dini yenje haki sote tupondani ya pazya jeusi atakapo lifungua itajulikana.
@
@amulikemwaweza92884 years agoHahahaa! Hawa bern hamna kitu naanza na bernard morrison nakuja bernard paul na malizia bernard membe na wewe endelea mwenzangu ujumbe ukipata mtoto usimwite. ...Expand
@
@marboycmg25424 years agoMashallah kaka mkubwa karibu kwenye dini yenye msimamo. 1
Related videos for SABABU YA BEN POL KUBADILI DINI KUWA MUISLAM / UTATA MKUBWA KWENYE NDOA YAKE:
asalamu aleykum from tajikistan iran afghanistan.
huko ni kukosa msimamo. 3
mwenye kujitakasa azidi kujitakasa na mwenye kujichafua na azidi kujichafua huko nje wapo mbwa, na waabudu masanamu. 8