Duration 4:18

MAAJABU: BIBI MIAKA 68 AJIFUNGUA WATOTO MAPACHA, ASHANGAZA DUNIA

35 853 watched
0
127
Published 21 Apr 2020

MAAJABU: BIBI MIAKA 68 AJIFUNGUA WATOTO MAPACHA, ASHANGAZA DUNIA... Mwanamke mwenye miaka 68 nchini nigeria amejifungua watoto mapacha na kuwaacha wengi na mshangao. Bibi huyo amejifungua katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Lagos. Akizungumzia tukio hilo mwenyekiti wa baraza la ushauri la chuo hicho, Profesa Wasiu Adeyemo, amesema kuwa mwanamke huyo alijifungua kwa njia ya ''upasuaji baada ya wiki 37 za ujauzito''. Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 iOS:https://apple.co/38HjiCx UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) (+255 676 229628) Email: globaltvbest@gmail.com abbymrisho@gmail.com HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania

Category

Show more

Comments - 46