Duration 4:38

JINSI YA KUPIKA BISI KWENYE SUFURIA /HOW TO MAKE POPCORN AT HOME

20 298 watched
0
300
Published 23 Feb 2020

Mahitaji Mahindi ya bisi 1/2kg Mafuta mls 5 Surulia na mfuniko Chumvi kijiko cha kula Sukari kijiko kidogo

Category

Show more

Comments - 22
  • @
    @eliasmtandwa59383 years ago Dada nimekuelewa but chumvi sijaona kuweka? 2
  • @
    @floranganda85183 years ago Naweza kuyaosha kabla yakupika mahindi. 2
  • @
    @neemasamora78802 years ago Dada je jiko la mkaa napo unaweza kukaangia.
  • @
    @nasratibrahim18963 years ago Mbona mm natengeneza ila hayatoki yote mengine yanaungua.
  • @
    @nasratibrahim18963 years ago Manaa sijaona ww ukoshe wa chumvi kuweka.
  • @
    @nasratibrahim18963 years ago Je unaosha na kuweka chumvi au mm nimekosea kuosha na kuweka chumvi na kuanika juani maana mengi yameungua.
  • @
    @alinemusenge47374 years ago Asante sana dada but nauliza kama naweza weka chumbi? 1
  • @
    @bakarali20422 years ago Mbon namm dada nimejarib yameungua au kwakua nimetumia mahind yale makubwa.
  • @
    @saidamwinyi40384 years ago Mbona nmejaribu yameungua tuu hayajatoa bisi wala nn. 1