Duration 11:23

PROFESA KABUDI: HATUHITAJI KUKUMBUSHWA KUHUSU KATIBA

17 674 watched
0
60
Published 4 Mar 2019

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa #Palamagamba #Kabudi amesema nchi ya #Tanzania haihitaji kukumbushwa kuwa ni nchi ya kidemokrasia bali itawaambia watu wnyewe.

Category

Show more

Comments - 29
  • @
    @nimrodmareges31315 years ago Mwanafunzi kachukua nafasi ya mwalimu wake mwalimu na mwanafunzi leo wote wako kazini, kama kamfundisha akiwa form one basi mahiga anastaili kustaafu. 2
  • @
    @daudasajile25025 years ago Nmemkubali kabudi kuwekwa sehemu sashhi.
  • @
    @alexmarungu22355 years ago Ongera hata sura ni ya kizalendo uraisi unafaa. 1
  • @
    @asteriamasika41735 years ago Hakika huo mstari unamaana kubwa, huyo sio mtumishi was mungu kakuambia, la hill no neno kutoka kwa mungu kupitia mtumishi wake, tafakari sana na kuyaishi maneno hayo,
  • @
    @sebamabee52285 years ago Sauti imara yenye uchungu na uzalendo ndani yake. Mungu akusimamie mh. 4
  • @
    @innocentpaulchillu15125 years ago Nakumbuka ulipo mteua prof kabudi, kwenye ile ziara ya nje alipo kutana na kuongea na diaspora, pale ndo nilipo gundua kabudi yuko vizuri sana, tena nikaandika . ...Expand 5
  • @
    @gabrielmalecela37015 years ago Kabudi wa kwenye lasim ya katiba yupo tofautii kabisaa na kabudi huyuu wa sisiem#. Hizi mbwembwe sio action, we needwe need eradication of poverty, we need employment. Nothing else. 1
  • @
    @davidremmymsinjili89745 years ago Uongozi wa nchi hauhitaji mbwembwe. Tunataka uwajibikaji na sio maneno. 1
  • @
    @mako3315 years ago Kabudi anafaa kuchukua viatu vya jpm, baada ya miaka 10. 2
  • @
    @bahatib.kidesela54235 years ago Je, kabudi ni mwislam?
    maana ijayo ni zamu ya uislam ktk ngazi ya urais.
    4
  • @
    @samsonmagesa39595 years ago Tz kuna siasa uchwara huyu kabudi kwenye tume ya walioba kuunda katiba mpya alikuwa ni mtetezi sana leo amebadirika baada ya kupata ulaji tunakumbuka sana. 2
  • @
    @feiz31805 years ago Professor kabudi, kauli yako kabla kuvalishwa suti ya kudhulumu nabaada ni ya kushangaza kabisa. Unyenyekevu wako uko wapi. Utetezi wako juu ya haki kwa watanzania iko wapi. Jamani njaa na shiba ni mambo mawili tafauti.