Urinary track infection (U.T.I) Ni ugonjwa unaoathiri njia ya mkojo kwa kusababishwa na bacteria.
Wanaougua maradhi hayo wanaopata dalili kama
Kukojoa Mara kwa Mara
Kubadilika kwa rangi ya mkojo
Harufu isio kawaida ya mkojo na
Miwasho sehemu za siri.
Tazama zaidi baadhi ya njia za kuzuia maradhi hayo.
Pia jiandikishe kwakugusa neno *SUBSCRIBE* ilikupata dondoo mbalimbali za afya
Category
Show more
Comments - 3
Related videos for U.T.I DALILI, MADHARA NA NJIA ZA KUZUIA MARADHI YA U.T.I: