Duration 20:46

Chemba Waidanganya Serikali, Wamchefua Waziri wa Nchi Seleman Jafo

5 096 watched
0
49
Published 30 Dec 2020

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -TAMISEMI, Mhe. Seleman Jafo, Ametoa siku takriban kumi kuanzia leo kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, kufuatia hali ya tuhuma za ubadhilifu wa fedha unao ikabili Halmashauri Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma Katika hali ya kushangaza Uongozi wa Halmashauri hiyo, ulionekana kutoa taarifa ya uongo kwa Mhe. Waziri wakati wa ziara ya kikazi wilayani humo. Hali iliyomlazimu Mhe. Waziri kumuagiza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, kuunda kikosi kazi cha kufatilia fedha zote zilizo pelekwa kwenye Halmashsuri hiyo kwenye shughuli mbali mbali za Maendeleo. isikilize kwa mapana hapa.

Category

Show more

Comments - 19