Duration 3:11

Familia zaishi na wasiwasi huko Mathira baada ya vijana wao kutoweka

564 watched
0
2
Published 28 Jul 2020

Familia 3 katika eneo bunge la Mathira, kaunti ya Nyeri zinaishi na wasiwasi baada ya vijana watatu kutoweka wiki tatu zilizopita. inadaiwa kuwa vijana hao waliitwa na mtu asiyejulikana kwa madai kuwa alikuwa awape kazi ya ufundi.

Category

Show more

Comments - 3