Duration 2:38

Gloria avishwa pete – Pazia | Maisha Magic Bongo

60 304 watched
0
423
Published 24 Feb 2021

Fred yuko kituo cha police kuwaonyesha mapolisi ni nani alimpiga risasi Edu. Wakati Gloria amwambia Jemo kwamba Edu bado yuko hai na yupo na Regina. Henry na Mariam waja kumtembelea Regina na Edu nyumbani na washangazwa na maisha yao yakifahari. Gloria amwambia mama yake kwamba Jemo alimvalisha pete. --- Endelea kutizama DStv chaneli 160 Official Website: https://bit.ly/3lXtAFc Angalia tamthilia bora Tanzania kwa kutumia Showmax: https://bit.ly/2KnGqyv Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo

Category

Show more

Comments - 13