Duration 5:48

EXCLUSIVE 1: SELASINI AFUNGUKA ANAVYOKWEPA MITEGO YA KUKAMATWA NA POLISI

3 153 watched
0
22
Published 31 May 2020

Joseph Selasini, Mbunge wa Rombo Jimbo lililoko Mkoani Kilimanjaro, anasimulia walivyokuwa wakidakwa na na kutupwa mahabusi wakiwa na kina Dk Slaa, Mbowe na Lissu wakati harakati za siasa alipokuwa akikitumikia Chadema kabla ya kutimka hivi karibuni. Alikuwa akifanya mahojiano maalumu na waandishi wa Mwananchi Jijini Dodoma.

Category

Show more

Comments - 15