@charlesnyanda16464 years agoNionavyo mimi. Mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya ni mwakililishi wa rais katika maeneo yao ya uwajibukaji. Si muda mrefu ataingia katika kupata ridhaa ya watanzania kwa mara nyingine. Pamoja na kuwa pengine kuna katika kila dalili za kupata ridhaa tena, lakini kuwalazimishakuendeleleakatika nafasi za awali ni sawa na assumptions kuwa wabaki kumsubiri kumwakilisha tena atakapopata ridhaa hiyo. Mi nadhani hiki ni kipindi cha kila anayetaka kupambana aruhisiwe kupambana, ni likishapita hili la uchaguzi, safu itapangwa upya. Na hata huyo makonda akianguka kwenye ubunge bado awe na nafasi ya kurudia nafasi yake kama atakuwa bado anaonekana anakidhi. ...Expand
@
@edwardmakonge33714 years agoWhyza wakuu wa mikoa na wilaya na wengineni haki yao, pili nafasi ya kutegemea kuteuliwa haiaminiki maana inategemea utashi ameamkaje siku hiyo. Mwisho mheshimiwa magufuri akishinda ndio itakuwa awamu yake ya mwisho. Sasa wateule wake wanajiandaa kisaikolojia ili kujiweka salama kisiasa, maana kiongozi ajaye baada ya magufuri atakuja na timu yake. Mimi ninavyoona waachiwe wagombee na wananchi ndio watakao amua. Kwani kupanga na kuchagua. ...Expand3
@
@mzeewamadodoso18164 years agoMakonda mwenyezi mungu akutetee nimeamini unakipaji kikubwa na unapendwa sana ndio maana wenye wivu wanateseka. 6
@
@stephanokanyika63214 years agoMimi sio mwanasiasa lakini nina maoni haya makonda ni kiongozi mzuri ndio maana hata mh. Rais inamuuma sana hili hila kama hatopita kuwa mgombea ubunge. ...Expand4
@
@nazarenajoseph26954 years agoTunashukuru katibu mkuu lakini watu wanajisahau kutenda haki mungu awasaidie. 2
@
@salumjumaruhaga25134 years agoApo chacha kazi ipo, m, mungu ibariki tanzania.
@
@eliaskyejo4 years agoSafi sana ni maneno ya kujengq sana kwa watia nia.
@
@kimsaid76434 years agoAcheni kumwandama makonda sisi tumeamua akipitishwa tu huyo ndio mbunge wetu over. 19
@
@khadijacharles24334 years agoJamani acheni kimuandama makonda, aya wapi kaongelewa he sasa tutamchagua makonda kigamboni kwa kishindoo. 1
@
@charlesmpemba93874 years agoMbona mnamuongelea sana makonda wakati rais hajamuongelea? 3
@
@awadhirajabu68334 years agoMakonda nimtanzania yuko na aki ya kugombea cheo chochote kikatiba makonda yuko vizuli agombee na kama ubunge ataupata mchana kweupe ndani ya jiji la dar. 3
@
@dicksonaroka69614 years agoDu mkuu wangu wa mkoa tulitamani sana kukuona bungeni sisi kama wengne huku chini lakin kwa maneno haya itoshe tu kusema mh. Ingawa itatuumiza sana kwakweli kama watakukata jina.
@
@johanesjohn84714 years agoWakati ukifika umefika, time ya makonda imefika so tumwacheni ang' are. 6
@
@husseinkarim67454 years agoElewa mnafanya makosa ndio watu kwenda chama kingine. Inabidi mpe kila msaada ashinde. Kuna wengine watachukua nafasi zao. 2
@
@constanciapeter24974 years agoMadaktari bingwa nao wanachukua fomu. Hatimaye tunaelekea kukosa hawa watuu. 1
@
@dnaofgodtv48734 years agoHulka yakehamkujua anatokaje ss gap limepatikana, anaponaje?
@
@timothalex32494 years agoMwacheni makonda afate moyo wake mbna kila kinachosemwa mnamlenga makonda. 7
@
@samwelhiinyamhangahiileosi10604 years agoNyie ccm acheni kumsakama makonda amefanya kazi kubwa sana mpeni haki yake. 1
@
@salumabdallah28564 years agoKugombea ubunge ni haki ya kila mtanzania. Bila shaka yeyote atakayeitishwa ktk kura za maoni kama hatokuwa na makando kando atapitishwa kupeperusha bendera ya chama chake.
@
@edgarmbehikya81504 years agoKumbe bashiru hujanizidi sana. Hata mi kwenye kata yetu mtendaji alikuwa hivyo akishirikiana na bwana afya. Enzi hizo sijaziona tena. Sasa hivi unatembea nyumba kadhaa hazina chanja za vyombo. Umenikumbusha mbali bashiru.
@
@jacobmigera26264 years agoWana nchi tusimame kwa pamoja tupinge kiwango cha mishahara na posho wanazo pokea wabunge; kama kweli niwazakendo na wanawapambinia wana nchi wao wawe. ...Expand21
@
@phonesphone4014 years agoNi kweli huwezi ukaacha cheyo kama kile aha hii kweli ni tamaaa.
@
@nehemiaisakwisa86044 years agoPunguzeni mshahara wa wabunge ili watu wauone usawa. 2
@
@erodeshayo86724 years agoKwanza hii video katengeneza huyu alikua anaongea hii ishu akiwa amekaa kwahiyo nyie acheni ushenzi huu tafuteni habar sahihi mtafeli bora mngetoa sauti tu ikaskika dah. 5
@
@sheryphamwenevalley61244 years agoKubwa lililopo mpk muda huu linalojiri itakuajemamilion wakati watu muhim km. Madoctor waalim marubani mishara midogo, ss lazima wayia nia waongezeke kila mtu anataka pesa, na iweje kwenye ubunge kuwe hakuna ukomo huo ni kubebaba, watu wamestuka ndio mana watu wengi wanataka kuingia bungeni kupiga pesa. ...Expand
@
@roselugendo69434 years agoMwacheni makonda atimize ndoto zake. Cheo cha ubunge ni cha tofauti, unachaguliwa na wananchi, cheo cha heshima. Mkuu wa mkoa unachaguliwa na watu wachache,. ...Expand
@
@EngRoby-xh2kq4 years agoMbona hakuna sehemu kamwongolea makonda? mwache apambane ni haki yake. hacheni kumwandama makonda bwana. 23
@
@wazirhaji69134 years agoTusiwe km mbuzi kutaka majani yambali na wakati alitakiwa ale majani ya karibu kwanza baadae itafika wakati atakwenda kufungwa kwenye yale majani atayoyataka atayala kwa utuo bila wasi.
@
@jenyyusuph49734 years agoMmemtia kijicho sijapenda mme wababaisha wapiga kula.
@
@mathamwamwaja36984 years agoHuu ni uchu wa madaraka, watanzania turidhike na vyeo vyetu jaman. 1
@
@jamilasaid27184 years agoWalimu wote wa kigamboni watampa kura za ndio kama wanajua kulipa fadhila. Kawaokoa nauli za kila siku kwenye daladala.
@
@salumjumaruhaga25134 years agoPosho tu ya siku tatu ni mshahara wwa mtu, bado mshahara wa mwezi.
@
@martinesizya2344 years agoHii video mmeedit, maneno na picha viko tofauti, mwacheni makonda afanye yake, acheni wivu, mnaroho mbaya sana, waliotia nia ni wengi mbona makonda tu kila siku, acheni ujinga. 3
@
@japhetdaud37814 years agoJamaani wana ccm, makonda kama alipngoza majimbo yoote dar, kigamboni itakuwa hon kong ya bongo.
@
@allimsafari48964 years agoHii ni haki yao kikatiba kwa hiyo waachieni wananchi waamue ni yupi wanamtaka vinginevyo mkawakata walio chaguliwa na wananchi mjue mtapoteza majimbo na. ...Expand3
@
@nehemiaisakwisa86044 years agoKumbuka kikwete tokea 1995 alikua anataka uraisndoto yako hakuna anae weza kukuotea ni bora makonda ameonyesha kua hajali kupoteza cheo lkn anajua ninini anatakiwa kukifanya maana kila hatua ni njia.
@
@kajembekimata67824 years agoMaana inamaana kwaasiyejua maana ya maana!
@
@mashramadhani19894 years agoMakonda kiongozi shupavu na anaweza kabisa kuwa mbunge imara. Mm nitawaona ccm imara sana mkimteua makonda kwa maslahi mapana ya maendeleo ya taifa. 7
@
@habibamhina90754 years agoMakonda tunakuhitaji sana kigamboni, wewe unaelewa mahitaji ya watu, mungu akunyooshee njia, tumechoka kuchagua watuhospital hazina madkitar katika jimbo lake yeye anapeta na kuijenga maghorofa yake, viongozi acheni kumsakama makonda, ni haki yake, kuchagua na kuchaguliwa. ...Expand
@
@imeldakahyoza22254 years agoUsiogope pambana naba nafunga kwa kusali. Mungu akupe wepesi.
@
@hamismgogo54234 years agoHii vidio ni ya kubambika haiendani na sauti acheni usanii.
@
@kelvinmtavangu82994 years agoJamani, rusheni clip sahihi. Mbona hivi. Kwanini kumtaja aliyekuwa mkuu wa mkoa kuchukua fomu. Mwandishi aseme ukweli. Rekebisha hili. 3
@
@kosovoawadh17714 years agoSisi wannchi wa kigamboni tunamtaka makonda sana tunampa miai kwa mia muacheni.
@
@abdulkhamis11704 years agoMakonda haki yake muacheni apambane hatimize ndoto yake.
@
@omanseeb86094 years agoNamuombea mung apite ubunge na aje awe raisi anafaa sana tutapata maendeleo na tutakula bata. 1
@
@wazirhaji69134 years agoTatizo lao wanatamaa ya madaraka makubwa haraka ustaamilifu wako ndiyo mafanikio mazuri kwako.
@
@charlesmpemba93874 years agoYani sisi tupo tayari kuandamana kigamboni msipomteuamaendeleo sasa. Najua akipitishwa 99% atachaguliwa. 2
@
@imeldakahyoza22254 years agoWanaojitambua watampa kula za kishindo. Maana huyo ni mkombozi. Mimi nampenda maana kama sio yeye mateja wangekuwa wengi. Mungu akupe wepesi makonda usiogopee.
@
@khalidballeth59574 years agoWahenga walishasema " usipo sikia la mkuu.
@
@nichorausrichard34694 years agoKwan makonda kakosea nn sasa mwachen anakubalika.
@
@eneamligo79194 years agoMakonda anafanya kazi vizuri mpitisheni jamani.
@
@hamidsalim34484 years agoMh Katibu. Nakupongeza sana juu ya khotuba yako. Ninaomba nipate mawasilano yako Nina mawili matatu niongee na wewe juu ya mwanachama mmoja ambae sii muadilifu. Mimi salim.quraish55@ Nikutakie kazi njema ktk ujenzi wa Chama. .....Expand
@
@mulangilakabwarebenson51284 years agoKua kiongozi sikulenga mshahara iyi ndio tatizo la afrika kutajirika mapema bila kukomaa. ccm haijatenga mtu ila nilazima viongozi watambue kwamstari wa mbele sheria inasema nin.
@
@ommygoldene36364 years agoNAOMBA NIKUALIKE Habari naitwa Hero msanii wa muziki naomba nikualike kutizama na kusapoti video ya mziki wangu mpya nao uzindua leo rasmi kwa ku SUBSCRIBE naomba SUSCRIBE yako shabiki wangu GUSA hapa kuona .....Expand1
@
@saidali43714 years agoHuyu mtoa post msenge sana maana hii clip haindani kabisa na hayo. 2
@
@matukiosafaris65084 years agoMwacheni makonda ana haki ya kugombea na tunamwihitaji kigamboni.
@
@magangamdogo33014 years agoIvi wa tanzania mtabadilika lini? Wanna ccm mbona sasa mnakua nakelo mtu anapo kose msihukum kwakosa hilo muangalieni huko anapo toka kafanya mema yepi hamtaki kuangalia mna shikili kosa tu nakuhukum ndonini sasa.
@
@clevermngao75654 years agoMamlaka ya mawasiliano tanz fuatilia baadhi ya mitandao inayotoa habari za uongo/ fake! Clip hii haiendani kabisa nahapa!
@
@josephmasawe35884 years agoYou tube is doing well in dissemination of information to their customers.
@
@emmaticopetro11584 years agoHapa anawaambia watu wote siyo makonda tu, sema makonda amekuwa gumzo.
@
@stephanomtatiro62214 years agoHuku kwetu biharamulo wamelamba hela njoo mwoene.
@
@ukk97984 years agoMti wenye matunda unapigwa mawe, huo ni wivu tu. 1
@
@polebugalama91794 years agoNyinyi makonda hammfahamu niulizeni mimi tawaambi a-z.
@
@erickmageta5044 years agoTuachani kuchokonoa haki za kidemokrasia.
Related videos for CCM WATOA TAMKO KUMUANGUSHA MAKONDA KIGAMBONI/WENYE TAMAA TUNAWAKATA/ALIKUA NA MADARAKA AKAACHA:
mwache apambane ni haki yake.
hacheni kumwandama makonda bwana. 23
ustaamilifu wako ndiyo mafanikio mazuri kwako.
" usipo sikia la mkuu.
Nikutakie kazi njema ktk ujenzi wa Chama. .. ...Expand
iyi ndio tatizo la afrika kutajirika mapema bila kukomaa.
ccm haijatenga mtu ila nilazima viongozi watambue kwamstari wa mbele sheria inasema nin.
Habari naitwa Hero msanii wa muziki naomba nikualike kutizama na kusapoti video ya mziki wangu mpya nao uzindua leo rasmi kwa ku SUBSCRIBE naomba SUSCRIBE yako shabiki wangu GUSA hapa kuona .. ...Expand 1