Duration 17:13

AGROFORESTRY FOR LIVELIHOOD EMPOWERMENT (ALIVE PROGRAMME) DOCUMENTARY.

Published 21 Oct 2020

ANSAF kwa kushirikiana na wadau wa Mradi wa Agroforestry for Livelihood Empowerment (ALIVE) unaofadhiliwa na Shirika la Vi Agroforestry wameandaa makala yanayoangazia mafanikio ya utekelezaji wa mradi katika Mkoa wa Mara. Makala haya yanangazia jinsi gani kilimo msitu kilivyochangia kuongeza kipato kwa wakulima wadogo na program ya Ufatiliaji Uwajibikaji Jamii (Social Accountability Monitoring) ilivyochangia kuleta mafanikio katika utekelezaji wa miradi ya kilimo.

Category

Show more

Comments - 1